• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Meatu District Council
Meatu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Halmashauri ya Wilaya ya Meatu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Maono
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
        • Misitu
        • Wildlife Management
        • Ardhi
    • Vitengo
      • Ununuzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Kata
    • Mtaa
    • Vijiji
  • Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Town Planning and Environmental Committee
      • AIDS Control Committee
      • Ethics Committee
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti Wa Halmaashauri
  • Miradi
    • Maandiko ya Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayotekelezwa
      • TASAF
      • LVEMP II
      • Uzalishaji wa Mbegu za Pamba
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • District Profile and Maps
    • Acts and Regulations
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Fomu
    • Taarifa
    • Circulars
    • Dokumbenti Mbali mbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Hotuba

Asante kwa Kutembelea tovuti yetu!

Ndugu , 

Kwanza kabisa napenda nitoe shukrani kwako kwa kutembelea tovuti hii ya Halmashauri ya wilaya ya Meatu,

Ikiwa ni jitihada za Serikari ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa awamu ya tano ya Mheshimiwa Rais Dk. John Pombe Magufuli 


Pili, Ibara ya 18 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaeleza kuwa

1) Bila ya kuathiri sheria ya nchi, na kutafuta,kupata na kueneza au kusambaza habari na mawazokupitia chombo cha habari chochote bila ya kujali mipaka ya taifa pia anayohakina uhuru wa kutoingiliwa na mawasiliano

2) Kila raia ana haki ya kupashwahabari wakati wote kuhusu matukio mbalimbali ya nchini na duniani kote yenyeumuhimu kwa maisha na shughuli za wananchi , pia kwa masuala yenye umuhimu kwajamii.

3) Kila mtu anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbali mbali muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi na pia kuhusu maswala muhimu ya jamii

Kwa kuzingatia mambo niliyoyataja hapo juu,

Halmashauri ya Wilaya ya Meatu  ilizindua tovuti hii katikati ya  mwezi Februari, 2017 na itakuwa daima kuwa "kazi inayoendelea". Tutaendelea kuongeza yaliyo muhimu kwenye tovuti yetu ili kuifanya kuwa kituo cha upatikanaji wa taarifa sahihi kwa umma. Tafadhali tujulishe nini ungependa kuwak inapatikana kwenye tovuti yetu ili kukusaidia kufaidika kwa kutumia anwani zilizopo katika sehemu ya wasiliana nasi.

Mwisho tunatarajia kwamba utarudi mara kwa mara ili kufuatilia jitihada zetu za kutoa huduma kwa raia wa Meatu na umma kwa ujumla.

Karibu sana

Matangazo

  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Kidato cha kwanza mwaka 2019 - Wilaya ya Meatu December 19, 2018
  • TANGAZO LA KAZI SEPT 2018 September 11, 2018
  • NAFASI ZA AJIRA KWA WALIMU June 21, 2018
  • TANGAZO LA KODI YA ARDHI May 22, 2018
  • Angalia zote

Habari za hivi Karibuni

  • DC – Chilongani aongoza Hafla ya kuwapongeza wahitimu wa Diploma ya elimu ya watu wazima Wilayani Meatu

    February 02, 2019
  • Meatu yakiwezesha kikundi cha Ngunani kujiinua kiuchumi

    January 29, 2019
  • DC Meatu aongoza ziara ya Ukaguzi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya lami.

    January 23, 2019
  • Nawida awa Diwani Mpya CCM kata ya Mwanyahina.

    January 20, 2019
  • Angalia zote

Video

Makala ndogo ya Ujenzi wa Barabara ya lami 1.5Km Mwanhuzi
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Miongozo Mbali mbali
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari
  • Dokumenti mbali mbali

Tovuti mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara ya Takwimu(NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu huria
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Meatu, Simiyu, Tanzania

    Anwani ya Posta: S.L.P 44

    Simu: 028 2795 008

    Simu ya Mkononi: 0622 404 712

    Barua Pepe: ded@meatudc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

counters

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meatu . Haki Zote Zimehifadhiwa.