• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Meatu District Council
Meatu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Halmashauri ya Wilaya ya Meatu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Maono
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
        • Misitu
        • Wildlife Management
        • Ardhi
    • Vitengo
      • Ununuzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Kata
    • Mtaa
    • Vijiji
  • Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Town Planning and Environmental Committee
      • AIDS Control Committee
      • Ethics Committee
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti Wa Halmaashauri
  • Miradi
    • Maandiko ya Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayotekelezwa
      • TASAF
      • LVEMP II
      • Uzalishaji wa Mbegu za Pamba
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • District Profile and Maps
    • Acts and Regulations
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Fomu
    • Taarifa
    • Circulars
    • Dokumbenti Mbali mbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
    • Hotuba

Benki ya NMB yaunga jitihada za kuboresha miundombinu ya Elimu Wilayani Meatu

Imewekwa: September 25th, 2019

Na Linus R. James

Hayo yamebainishwa mapema leo wakati kwenye hafla fupi ya  makabidhiano ya madawati katika shule ya Sekondari ya Ngh’ohoko iliyo Kata ya Ng’hohoko .

Akisoma risala mbele ya Mgeni rasmi Mwl. Mkuu wa shule ya Ng’hohoko alisema shule ina wanafunzi 268 ambapo kabla ya NMB ilikua na viti 406.

Naye kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu Bi Mwanaisham Nassor alisema kuwa hizi ni jitihada na maandalizi ya kuwapokea kidato cha tano mwakani.

“Kwanza usajili wa kidato cha kwanza mwakani tunategemea wawe wengi pili hili linaloendelea ni maandalizi ya kidato cha tano, niwashukuru wananchi wa Ng’hohoko kwa ushirikiano wa kuchangia elimu na ndio maana tumeichagua shule hii iwe mfano, miundo mbinu ipo ya kutosha ukiacha changamoto chache ambazo hazimzuii mwanafunzi kusoma au mwalimu kufundisha”

Naye diwani wa kata ya Ng’hoboko Mh Pius Machungwa akitoa salam kwa wananchi aliwapongeza sana wananchi kwa kuwa na ushirikiano wa kuchangia mambo mbali mbali hususani ujenzi wa miundombinu ya elimu ambapo alisema kuwa ameanzisha mkakati wa kila kaya kuchangia kiasi cha fedha za kitanzania  15,000 na tayari wamejenga nyumba nne.

“Niwapongeze wananchi wangu, tangu nilipopata udiwani mwaka 2000 niliwashawishi wananchi mwaka 2005 tukaienga shule hii na tukaijenga nab ado tunazidi kuongeza miundombinu ili shule yetu iwe ya mfano, serikali nayo inapenda kumsaidia mtu anayejishughulisha ivyo msichoke kuchangia maendeleo kwani uwezo wa kusimamia kila shilingi ninao na siana tamaa na shilingi ya mwananchi”

Aidha Mheshimiwa diwani huyo aliwasisitiza wananchi umuhimu wa kutunza fedha benki ambapo alisema mtu akiweka pesa benki kwanza anajiepusha na majanga na pili benki inapata mapato na ndiyo madawati wanayochangia.

Pia alimuomba Meneja wa benki ikiwezekana akasaidie pia katika ukamilisha wa majengo ya shule ya msingi Ng’hoboko ili wanafunzi waweze kuzalishwa kwa wingi vijjijini kwa ajili ya kujiunga n elimu ya sekondari.

Naye Mgeni Rasmi wa hafla hiyo ambaye ni mkuu wa wilaya ya Meatu Dr Joseph Chilongani wakati wa kuhutubia wananch na wanafunzi waliohudhuria i alisema kua aliwasisitiza wanafunzi kusoma kwa bidii, kuwasihi wazazi na wadau wa maendeleo waendelee na moyo wa uchangiaji wa miundo mbinu hususani elimu na afya.

“Hiki wanachokifanya benki ya NMB ni kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, serikali inafanya mambo mengi makubwa ikiwemo kuleta fedha kila mwezi, ujenzi na ukarabati wa miundo mbinu mbali mbali” Alisema Mkuu wa Wilaya.

Pia aliwasistiza wazazi kulipa suala la mabweni kipaumbele kwani motto anapokua bweni au kwenye makambi ya elimu anapata muda wa kutosha kujisomea tofauti na anapkua nyumbai.

Akikabidhi madawati kwa niaba ya Benki ya NMB, Meneja wa kanda ya NMB Magharibi, Ndugu Sospeter Njile Magesse lisema madawati 50 yaani viti 50 na meza 50 yenye thamani ya shilingi milioni tano yametengenezwa hapa Wilayani Meatu ivyo licha ya kutoa madawati lakini fedha imebaki mikononi mwa wananchi wa Meatu.

Hafla hii fupi ilihudhuriwa na wananchi mbali mbali, wanafunzi, Kaimu Meneja wa Benki ya NMB tawi la Mwanhuzi Bwana Dad Salim, Meneja wa kanda, Mkurugezi Mtendaji wa Halmashauri na Wakuu wa Idara na vitengo mbali mbali Diwani wa kata ya Ng’hoboko na viongozi wa kata hiyo iliongozwa na Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Meatu Dr. Joseph Chilongani.

MWISHO

Kuona Picha zaidi bofya hapa

Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MEATU 2021 December 18, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MEATU 2021 December 15, 2020
  • MICHORO YA MAJENGO YA AFYA February 10, 2018
  • Angalia zote

Habari za hivi Karibuni

  • Waziri Jafo awasilisha makadirio ya bajeti 2020/2021

    April 08, 2020
  • Benki ya NMB yaunga jitihada za kuboresha miundombinu ya Elimu Wilayani Meatu

    September 25, 2019
  • Wazalishaji wa chumvi Meatu wawezeshwa Mashine ya kuchanganya madini joto

    August 15, 2019
  • Meatu yaongeza mikakati ya kudhibiti changamoto ya uvamizi wa tembo

    June 09, 2019
  • Angalia zote

Video

Ziara ya Waheshimiwa mawaziri nane Wilaya ya Meatu kwa ajili ya kukusanya Maoni ya Kutatua Migogoro
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Miongozo Mbali mbali
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari
  • Dokumenti mbali mbali

Tovuti mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara ya Takwimu(NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Tovuti kuu ya Takwimu huria
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Meatu, Simiyu, Tanzania

    Anwani ya Posta: S.L.P 44

    Simu: 028 2795 008

    Simu ya Mkononi: 0622 404 712

    Barua Pepe: ded@meatudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meatu . Haki Zote Zimehifadhiwa.