Mkurugenzi wa Wilaya ya Meatu Kupitia Idara ya Elimu Sekondari anapenda kuwatangazia wazazi au walezi wa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha Kwanza, Fomu zinapatikana shuleni au katika tovuti ya Halmashauri kwa kubofya hapa chini
Meatu, Simiyu, Tanzania
Anwani ya Posta: S.L.P 44
Simu: 028 2795 008
Simu ya Mkononi: 0622 404 712
Barua Pepe: ded@meatudc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Meatu . Haki Zote Zimehifadhiwa.